“Tunategemea mchezo mgumu lakini tuko tayari kwa mchezo wa kesho. Tunajua ni mchezo muhimu na tutapambana ili tupate alama tatu,”- Kocha Mkuu wa Simba SC, Pablo akizungumzia maandalizi ya mchezo wa kesho Ijumaa kati ya Simba SC dhidi ya Ruvu Shooting.
“Tunawaheshimu wapinzani wetu lakini tumejipanga kushinda. Naamini mtaona mabadiliko.”- Gadiel Michael.