MAYELE NA KAGERE WAPO KWENYE VITA YAO
WASHAMBULIAJI wawili ndani ya timu zenye maskani yake pale Kariakoo Yanga na Simba wapo kwenye vita nzito ya kutafuta ufalme wa kutupia mabao kutokana na kasi yao ya kutupia kwa Fiston Mayele wa Yanga na Meddie Kagere wa Simba kuzidi kuwa kubwa. Mfalme kwenye suala la kutupia kwa msimu uliopita ni nahodha wa Simba, John…