NAMUNGO FC YAMPATA MRITHI WA MOROCCO

KLABU ya Namungo FC inayoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara imetangaza benchi jipya la ufundi ambalo litainoa timu hiyo kwa msimu wa 2021/22. Hiyo ni baada ya aliyekuwa kocha wa timu hiyo, Hemed Morocco kuomba kujiweka kando kuinoa timu hiyo kutokana na mwendo ambao haukuwa mzuri kwenye mechi za ligi kwa msimu huu. Namungo imemtambulisha Hanour…

Read More