Simba SC yatupia mabao 19 NBC Premier League

Katika Ligi Kuu ya NBC safu ya ushambuliaji ya Simba SC 2026/27 baada ya mechi 8 inaongoza kwa kuwa na kasi katika kucheka na mabao ikifunga 19. Mchezo pekee iliyovunja rekodi kwa kufunga mabao mengi ilikuwa Simba SC 6-1 Mashujaa FC uliochezwa Uwanja wa Uhuru, Dar. Baada ya ushindi huo ulifanya timu hiyo kufikisha jumla…

Read More