KMC NA MERIDIANBET WACHANGIA UJENZI WA KITUO CHA POLISI
KLABU ya KMC, alimaarufu kama “KINO BOYS”, kwa kushirikiana na Mdhamini mkuu wa klabu hiyo kampuni ya Meridianbet wametoa msaada wa vifaa vya ujenzi wa kituo cha polisi, kilichopo Mtaa wa Tegeta A ambacho kinaendelea kujengwa ili kutoa msaada wa kiusalama kwa eneo hilo. Vifaa hivyo vilivyotolewa ni mifuko ya Saruji “Cement” zaidi 50 pamoja…