Mechi zote za Simba SC CAF kupigwa Uwanja wa Uhuru

UONGOZI wa Simba SC umebainisha kuwa mechi zote mbili CAF Champions League dhidi ya de Agosto zitachezwa Dar, Uwanja wa Uhuru. Ahmed Ally, Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba SC amesema maandalizi yanaendelea kuelekea mechi zijazo za kimataifa na wapo tayari kusaka matokeo chanya. “Kuelekea mechi zetu za Ligi ya Mabingwa Afrika 20/10/2026…

Read More