
IHEFU WATAJA WALIPOELEKEZA NGUVU ZAO
ZUBER Katwila, Kocha Mkuu wa Ihefu FC amesema kuwa alikuwa anawalinda wachezaji wake ili wasiweze kuumia kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho dhidi ya Yanga uliochezwa Uwanja wa Mkapa. jana Desemba 15. Katika mchezo huo Ihefu ilipoteza kwa kufungwa mabao 4-0 dhidi ya Yanga nawatupiaji walikuwa ni Heritier Makambo ambaye alifunga mabao matatu na Khalid…