
SAKHO NA JIMMYSON VIWANGO VYAO VYACHAMBULIWA NA KOCHA WAO
SELEMAN Matola,Kocha Msaidizi wa Simba ameweka wazi kuwa viwango vya wachezaji wa timu hiyo ikiwa ni pamoja na Pape Sakho na Jimmyson Mwanuke vinazidi kuimarika kwa kuwa walifanya vizuri walipopewa nafasi kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho dhidi ya JKT Tanzania. Kwenye mchezo huo uliochezwa Uwanja wa Mkapa, Desemba 14, Simba iliibuka na ushindi…