STARS KUKWEA PIPA BAADA YA MECHI
TIMU ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars kesho Novemba 11 ikimaliza kazi mbele ya DR Congo, itaelekea Madagascar kwa ajili ya maandalizi ya mwisho ya mchezo utakaopigwa Novemba 14, 2021 kusaka tiketi ya kufuzu kombe la Dunia Qatar 2022, ambapo Serikali ya Jamhuri wa Muungano wa Tanzania imetoa ndege kuelekea mechi hiyo. Katibu Mkuu…