
YANGA KUTUMA UJUMBE CAF KWA MTINDO HUU
UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa kuelekea mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika wanahitaji ushindi mkubwa dhidi ya Vital’O ili kutuma salamu kwa wapinzani wao Afrika. Agosti 24 Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu, Miguel Gamondi itakuwa na kibarua cha kusaka ushindi kwenye mchezo wa marudio. Ali Kamwe, Ofisa Habari wa Yanga amebainisha kwamba wanatambua umuhimu…