
MABINGWA WA BONGO WAIVUTIA KASI KAIZER CHIEFS
MABINGWA wa Ligi Kuu Tanzania Bara msimu wa 2023/24 Yanga wapo tayari kuwakabili Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini kwenye mchezo wa Toyota Cup. Yanga wapo katika viwanja vya St Stithians, Johannesburg, Afrika Kusini chini ya Kocha Mkuu, Miguel Gamondi ambaye ameongeza mkataba wa mwaka mmoja kuinoa timu hiyo kwenye mechi za ushidani. Julai 28 2024…