
AZAM FC YAPOTEZA MCHEZO WAKE WA KWANZA BONGO
MATAJIRI wa Dar Azam FC msimu wa 2024/25 wamepoteza mchezo wa kwanza wakiwa ndani ya Uwanja wa New Amaan Complex mbele ya Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, Fadlu Davids. Azam FC ilikuwa imecheza jumla ya mechi nne ambazo ni dakika 360 bila kuambulia kichapo kwenye mechi hizo ambapo ilipata ushindi kwenye mechi mbili na kuambulia…