
YANGA YAMWONGEZEA MKATABA MAXI NZENGELI MPAKA 2027
Dar es Salaam, Julai 28, 2025 – Klabu ya Yanga SC imetangaza rasmi kumsainisha kiungo mshambuliaji wake, Maxi Mpira Nzengeli, nyongeza ya mkataba mpya wa miaka miwili, hatua itakayomuweka klabuni hadi mwaka 2027. Maxi Nzengeli, raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), ameonyesha kiwango bora tangu ajiunge na Yanga mwaka 2023 akitokea klabu ya…