
AZAM FC KAMILI KUPEPERUSHA BENDERA KIMATAIFA
WAWAKILISHI wa Tanzania kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika Azam FC wamebainisha kwamba wapo tayari kwa mchezo wao kesho hatua ya awali dhidi ya APR. Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Azam Complex ambapo Azam FC itawakaribisha APR kutoka Rwanda kwenye mchezo huo unaotarajiwa kuwa na ushindani mkubwa. Kocha Mkuu wa Azam FC, Bruno Ferry amesema…