
KUMBE! SIMBA WANASHINDA LAKINI HAWANA FURAHA
AHMED Ally, meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba ameweka wazi kuwa wanashinda lakini hawana furaha kwa kuwa bado wanatengeneza timu hiyo. Mchezo wa kwanza wa Simba katika Ligi Kuu Bara ilikuwa dhidi ya Tabora United uliochezwa Uwanja wa KMC, baada ya dakika 90 ubao ulisoma Simba 3-0 Tabora United kwa msimu wa 2024/25…