
PAMBA 0 – 1 SIMBA SC – JITU LIMEFUNGWA GOLI TUMA SALAMU – ATEBA APIGA PENATI ya KILIMO cha PAMBA
Alama tatu muhimu kwa Wekundu wa Msimbazi, Simba Sc wakifikisha pointi 28 na kuendelea kujichimbia zaidi kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu bara. FT: Pamba Jiji Fc 0-1 Simba Sc ⚽ 22’ Ateba