
MSUVA AIKARIBIA REKODI YA NGASSA
MSHAMBULIAJI wa timu ya taifa, Taifa Stars, Simon Msuva katika ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Ethiopia, kumemfanya nyota huyo kufikisha mabao 23 na kuifukuzia rekodi iliyowekwa na Mrisho Ngassa mwenye 25. Nyota huyo amefunga mabao 23 katika michezo 93 ya timu ya taifa tangu alipokitumikia kikosi hicho rasmi mwaka 2012, huku akibakisha mawili tu…