YANGA KAMILI KUWAKABILI VITAL’O

UONGOZI wa Yanga umeweka wazi kuwa upo tayari kwa mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Vital’ O ya Burundi unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Azam Complex. Huu ni mchezo wa awali ambapo Yanga atakuwa ugenini baada ya Vital’O kuomba kutumia Uwanja wa Azam Complex kuwa ni uwanja wake wa nyumbani. Ali Kamwe, Ofisa Habari…

Read More

Cheza Expanse Kasino na Upige Mamilioni

Safiria ndoto ya maisha yako kwa kucheza kasino ya mtandaoni, pale Meridianbet kuna promosheni ya Expanse ambayo inatoa mamilioni kwa washindi. Jisajili sasa upate bonasi ya ukaribisho ya Tsh 3,000,000/=   Kupitia shindano la Mamilioni la Expanse, unaweza kujishindia hadi Tsh 4,750,000/= ikiwemo bonasi za kasino kibao. Kuna michezo mingi ya kasino na Sloti ambayo…

Read More

EPL IMEREJEA KAZI KWAKO KUSHINDA MKWANJA

Ligi kuu ya Uingereza EPL inarejea leo ambapo klabu ya Manchester United inacheza na Fulham katika mchezo wa ufunguzi wa ligi kuu ya Uingereza msimu wa 2024/25.   Manchester United watakua kwenye uwanja wao nyumbani leo pale Old Trafford wakijitahidi kuhakikisha wanauanza msimu mpya vizuri kwa matokeo ya ushindi dhidi ya Fulham ambayo nayo imeimarisha…

Read More

MKALI ONANA JIONI KABISA AMEKUTANA NA THANK YOU

MWAMBA Willy Onana hatakuwa ndani ya kikosi cha Simba msimu wa 2024/25 baada ya kukutana na Thank You jioni kabisa kutoka kwa waajiri wake hao. Ipo wazi kwamba Onana anashikilia rekodi ya kuwa mfungaji wa mwisho msimu wa 2023/24 alifanya hivyo katika mchezo dhidi ya JKT Tanzania uliochezwa Uwanja wa Mkapa ambao ulikuwa ni wa…

Read More

BABA YAKE NYOTA WA BARCELONA LAMINE YAMAL ACHOMWA KISU

Baba wa nyota wa soka wa Uhispania Lamine Yamal mwenye umri wa miaka 17 ameripotiwa kuchomwa kisu mara kadhaa kwenye eneo moja la maegesho ya magari. Kulingana na ripoti katika vyombo vya habari vya Uhispania, Mounir Nasraoui alishambuliwa katika mji wa pwani wa Mataró, kaskazini mwa Barcelona, ​​Jumatano usiku na kundi la watu aliozungumza nao…

Read More

SINGIDA FOUNTAIN GATE SIO KINYONGE

UONGOZI wa Singida Fountain Gate umeweka wazi kuwa kwa msimu wa 2024/25 wataanza kazi kwa nguvu na sio kinyonge kwenye mechi tano za mwanzo ndani ya Ligi Kuu Bara. Ipo wazi kwamba msimu wa 2023/24 haukuwa bora kwa timu hiyo iliyogotea nafasi ya 11 baada ya mechi 30 ilikomba pointi 33 ilishinda mechi 8 iliambulia…

Read More

GAMONDI AWAPA TANO MASTAA WAKE

MIGUEL Gamondi, Kocha Mkuu wa Yanga amewapa tano mastaa wake ikiwa ni pamoja na Clement Mzize, Duke Abuya, Dickson Job kwa kushirikiana kuanza na taji la Ngao ya Jamii kwenye fainali iliyochezwa Uwanja wa Mkapa dhidi ya Azam FC. Katika mchezo huo uliochezwa Agosti 11 baada ya dakika 90 ubao ulisoma Yanga 4-1 Azam FC…

Read More