
VIDEO: SIMBA SC IMETANGAZA JAMBO KUBWA/ MDHAMINI MPYA
Simba SC inatangaza jambo kubwa leo Julai 29 2025 ikiwa ni maandalizi ya msimu wa 2025/26
Simba SC inatangaza jambo kubwa leo Julai 29 2025 ikiwa ni maandalizi ya msimu wa 2025/26
KIKOSI cha Simba SC kinachonolewa na Kocha Mkuu, Fadlu Davids kwa maandalizi ya msimu wa 2025/26 kitaweka kambi nchini Misri. Ikumbukwe kwamba leo Julai 29 2025 Simba SC inatarajiwa kutangaza mdhamini mpya na ratiba nzima ya maandalizi kuelekea msimu wa 2025/26 unaotarajiwa kuwa na ushindani mkubwa. Kuna wachezaji wapya ambao watatambulishwa hivi karibuni ndani ya…
MTAMBO wa mabao ndani ya kikosi cha Simba SC msimu wa 2024/25 kwenye Ligi Kuu Tanzania Bara inayodhaminiwa na NBC Jean Ahoua huenda akaondoka ndani ya Bongo kwenda kupata changamoto mpya. Inaelezwa kuwa kiungo mshambuliaji wa Simba SC raia wa Ivory Coast, Ahoua yupo kwenye rada za Klabu ya JS Kabylie ya nchini Algeria kwa…
WAKATI jina la kiungo mshambuliaji wa Azam FC, Feisal Salum likitajwa kuwa miongoni mwa wale ambao wamefuatwa kwenye sanduku la usajili la Simba SC katika kina cha Bahari ya Hindi inaelezwa kuwa jina hilo halipo. Taarifa zinaeleza kuwa jina la Fei limekutana na ugumu mzito kuwa ndani ya Simba SC hivyo jitihada zinaendelea kufanyika mpango…
Msimu ukiwa umemalizika salama na wachezaji kibao wameweza kuonesha uwezo wao, sasa kuna wale ambao walionesha uwezo mkubwa kupita wenzao ambapo tuzo ya kumpata mshindi wa Ballon DOR kufanyika Oktoba. Je upo tayari?. ODDS za kibabe zipo Meridianbet. Beti sasa. OUSMANE DEMBELE ODDS 1.16 Meridianbet wanampa nafasi ya kwanza kuchukua tuzo hiyo mchezaji wa PSG,…
Hii ni simu ya ukumbusho kutoka kwa mpigaji Meridianbet kwenda kwa mpokeaji na ujumbe wake ni mmoja tu, zimebaki siku mbili pekee. Ndiyo, ni siku mbili tu kabla ya pazia kufungwa rasmi kwa promosheni kubwa inayowapa wateja nafasi ya kushinda simu mpya ya kisasa, Samsung Galaxy A25, kupitia Meridianbet. Mwezi wa Julai umekuwa na mvumo…
Kocha wa zamani wa timu ya taifa ya Tanzania Marcio Maximo ametambulishwa kama kocha mkuu mpya wa klabu ya KMC FC akichukua mikoba ya Kally Ongala aliyetupiwa virago mwezi Mei kutokana na mwenendo usioridhisha wa klabu hiyo. Maximo (63) raia wa Brazil ambaye pia amewahi kuinoa Young Africans Sc anakumbukwa zaidi kwa kuiwezesha Taifa Stars…
Mwanza, Julai 28, 2025 – Klabu ya Pamba Jiji FC imetangaza kufikia makubaliano ya kusitisha mkataba na kocha wao mkuu Fred Felix Minziro, baada ya pande zote mbili kuridhiana kuhitimisha ushirikiano wao. Taarifa rasmi ya klabu imethibitisha kuwa hatua hiyo imefikiwa kwa mazungumzo ya amani, bila mvutano wowote, na kwamba uongozi unatoa shukrani kwa Kocha…
Dar es Salaam, Julai 28, 2025 – Klabu ya Yanga SC imetangaza rasmi kumsainisha kiungo mshambuliaji wake, Maxi Mpira Nzengeli, nyongeza ya mkataba mpya wa miaka miwili, hatua itakayomuweka klabuni hadi mwaka 2027. Maxi Nzengeli, raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), ameonyesha kiwango bora tangu ajiunge na Yanga mwaka 2023 akitokea klabu ya…
Aliyekuwa beki tegemeo wa Simba SC, Henock Inonga Baka, ameaga rasmi klabu ya AS FAR Rabat ya Morocco baada ya kuitumikia kwa msimu mmoja pekee. Kupitia taarifa rasmi ya klabu hiyo, AS FAR imeuthibitisha kuachana na beki huyo raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) kwa heshima na shukrani kwa mchango wake katika kikosi…
NAIBU Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Hamis Mwinjuma maarufu kwa jina la FA amebainisha kuwa timu ya Tanzania ipo vizuri. Hayo alisema mara baada ya Tanzania kupata ushindi dhidi ya Uganda. Mwinjuma amesema kwenye mpira wa miguu lolote linaweza kutokea. Ikumbukwe kwamba kwenye mashindano maalumu ya CECAFA ambayo yalishirikisha timu tatu, Tanzania, Uganda…
AHMED Ally, Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba SC amesema kuwa Fadlu yupo likizo ila anafanya kazi kwa moyo mkubwa akiwa Tanzania. “Katika vitu ambavyo tunapaswa kujivunia kwa hali na mali Wanasimba ni uwepo wa Kocha Mkuu, Fadlu Davids. Yupo likizo lakini alitoka Afrika Kusini na kuelekea Dubai kuongea na Mo. “Kwa sasa…
YANGA SC inayonolewa na Kocha Mkuu, Romain Folz imemuongezea mkataba wa miaka miwili kiungo wa kazi Duke Abuya raia wa Kenya. Abuya ni miongoni mwa wachezaji waliokuwa katika kikosi cha Yanga SC kilichotwaa ubingwa wa ligi msimu wa 2024/25 kikiwa na pointi 82 kibindoni baada ya mechi 30. Ni mechi 27 alicheza akikomba dakika 1,496…
TIMU ya Fountain Gate FC imemtambulisha mchezaji chipukizi Juma Issa Abushiri (Chuga) kutoka timu ya taifa ya vijana ya Tanzania (U-17). Nyota huyo amesaini mkataba wa miaka mitano kuwa kwenye timu hiyo ambayo ina uhakika wa kushiriki Ligi Kuu Tanzania Bara ya NBC ambayo ni namba nne kwa ubora msimu wa 2025/26. Akizungumza katika Hoteli…
MSIMBAZI kumeanza kumechangamka kupitia usajili baada ya dirisha la usajili kufunguliwa huku wakiwa hajatangaza mchezaji hata mmoja mpya ambaye ameshasaini kandarasi Simba SC. Mabosi wa Singida Black Stars, wameeleza kuwa Jonathan Sowah ambaye ni mshambuliaji wao wameingia makubaliano ya kumuuza ndani ya Simba SC kwa makubaliano maalumu. Hivyo Sowah anakuwa nyota wa kwanza usajili wake…
ROMAIN Folz kocha mpya wa Yanga SC ana balaa zito akiwa ni kocha kijana. Kocha huyo ni mrithi wa mikoba ya Miloud Hamdi aliyekuwa Kocha Mkuu wa Yanga SC 2024/25. Miloud alipewa Thank You Julai 3 2025 hivyo hatakuwa ndani ya Yanga SC msimu wa 2025/26 amepata changamoto mpya Klabu ya Ismaily SC ya Misri….
DILI la kiungo wa Azam FC Feisal Salum kuibukia ndani ya kikosi cha Simba SC ni gumu kutokana na mkataba wake uliobaki na gharama za uhamisho ambazo zipo. Ilikuwa inaelezwa kuwa Feisal anatajwa kuwa kwenye rada za Simba SC ilianza hivyo tangu dirisha dogo la msimu wa 2024/25. Ipo wazi kwamba miongoni mwa viungo wazawa…