RATIBA YA LIGI KUU BARA HII HAPA
BAADA ya Oktoba 2 2024 nyuki wa Tabora, Tabora United kupoteza mchezo wao wa ligi dhidi ya wakulima wa zabibu Dodoma Jiji kuna dakika 90 nyingine za kazi leo Oktoba 3 2024. Ikumbukwe kwamba baada ya dakika 90 ubao wa Uwanja wa Jamhuri, Dodoma ulisoma Dodoma Jiji 2-0 Tabora United na mabao yalifungwa na Paul…