
KULE TANZANIA HUKU ETHIOPIA NANI KUKUPATIA PESA LEO?
Timu ya Taifa ya Tanzania leo hii itakuwa ugenini kusaka ushindi kujiweka kwenye nafasi nzuri ya kufuzu AFCON 2026, huku wewe ukiwa na nafasi ya kuondoka na mkwanja mrefu. Ethiopia itakuwa nyumbani dhidi ya Tanzania majira ya saa moja usiku. Ikumbukwe kuwa Stars leo hii inahitaji ushindi wa hali na mali ili ijiweke kwenye nafasi…