GAMONDI AWAPA TANO MASTAA WAKE

MIGUEL Gamondi, Kocha Mkuu wa Yanga amewapa tano mastaa wake ikiwa ni pamoja na Clement Mzize, Duke Abuya, Dickson Job kwa kushirikiana kuanza na taji la Ngao ya Jamii kwenye fainali iliyochezwa Uwanja wa Mkapa dhidi ya Azam FC. Katika mchezo huo uliochezwa Agosti 11 baada ya dakika 90 ubao ulisoma Yanga 4-1 Azam FC…

Read More

AWESU AWESU WA SIMBA ATAMBULISHWA KMC

NYOTA Awesu Awesu rasta aliyetambulishwa kuwa kwenye changamoto mpya msimu wa 2024/25 ndani ya kikosi cha Simba kinachoolewa na Kocha Mkuu, Fadlu Davids.. Alitambulishwa kuwa mali ya Simba Julai 17 akitokea KMC, alijiunga na timu kambini Misri Julai 17 alicheza mchezo wa kimataifa wa kirafiki Simba Day,Agosti 3 na ametambulishwa kwa mara nyingine kurejea KMC,Agosti…

Read More

MWAMBA KUTOKA MWANZA MWANZA AMEACHIA ZAWADI HII

LEGEND kwenye muziki Bongo Fareed Kubanda ambaye ni mzawa kutoka Mwanza ameachia ngoma mpya inayokwenda kwa jina la Simba. Kazi hiyo ameiachia muda mfupi ikiwa ni kumbukizi yake ya kuletwa duniani Agosti 13 ambapo kwenye nyimbo yake ya Agosti 13 akiwa na Salam Jay na Juma Nature alibainisha kuwa alizaliwa katika Hospital ya Bugando, Mwanza….

Read More

SIMBA KUSHUSHA MSHAMBULIAJI WA KAZI

UONGOZI wa Simba umebainisha kwamba upo kwenye mpango wa kukamilisha usajili wa mshambuliaji ili kuongeza nguvu katika kikosi hicho kinachonolewa na Kocha Mkuu, Fadlu Davids. Ipo wazi kwamba Simba ni namba tatu kwenye Ngao ya Jamii 2024/25 imeshuhudia safu ya ushambuliaji ikifunga bao moja pekee na mtupiaji ni kiungo Saleh Karabaki ilikuwa dakika ya 10…

Read More

Cheza Expanse Ushinde Mamilioni

Meridianbet wanakwambia ukicheza Expanse Kasino unajiweka sehemu nzuri ya kujishindia maokoto ya kutosha. Jisajili hapa kuwa sehemu nzuri Zaidi ya ushindi.   Kupitia shindano la michezo ya kasino ya mtandaoni kutoka Expanse, unaweza kujishindia hadi Tsh 4,750,000/= ikiwemo bonasi za kasino kibao. Kuna michezo mingi ya kasino na Sloti ambayo inaweza kukufanya kuwa Milionea.  …

Read More

SINGIDA BLACK STARS KULETA USHINDANI KITAIFA

UONGOZI wa Singida Black Stars umeweka wazi kuwa malengo makubwa ni kuleta ushindani kitaifa kutokana na usajili makini waliofanya pamoja na uzi mzuri kuliko timu zote Bongo kuwa mali yao kwa msimu wa 2024/25. Timu hiyo inanolewa na Kocha Mkuu, Patrick Aussems wengi hupenda kumuita Uchebe aliwahi kuifundisha Simba inayoshiriki Ligi Kuu Bara na mafanikio…

Read More