
KIPA SIMBA SC ATAJWA AZAM FC
KIPA wa Simba SC, Aishi Manula inaelezwa kuwa yupo kwenye rada za mabosi wa Azam FC ambao wanahitaji saini yake. Ipo wazi kwamba Manula kwa msimu wa 2024/25 hajawa chaguo la kwanza ndani ya kikosi hicho kinachonolewa na Kocha Mkuu,Fadlu Davids. Katika mechi za Ligi Kuu Tanzania Bara hajaanza langoni mchezo hata mmoja na kwenye…