
KOCHA SIMBA: TUNA KAZI KUBWA KUFANYA KUWA IMARA
FADLU Davids, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa kuna kazi kubwa ya kufanya ili kuwa imara kwenye mechi za ushindani ambazo watacheza ndani ya uwanja. Fadlu mkononi ana tuzo ya kocha bora Agosti 2024 baada ya kuingoza Simba kwenye mechi mbili za ligi ndani ya dakika 180, wakikomba ushindi kwenye mechi zote huku safu ya…