
ALIYEWAZIMA WAARABU KWA MKAPA JIONI AFICHUA SIRI
NYOTA wa Simba kiungo Edwin Balua aliyewazima wapinzani wao kwenye anga la kimataifa jioni amefichua alichoambiwa na Kocha Mkuu, Fadlu Davids kabla ya kuingia kwenye mchezo huo. Septemba 22 2024 baada ya dakika 90 ubao wa Uwanja wa Mkapa ulisoma Simba 3-1 Al Ahli Tripoli huku mabao ya Simba yakifungwa na Kibu Denns dakika ya…