
MUHIMBILI YANEEMEKA NA UJIO WA MERIDIANBET
Ukipata kidogo basi gawana na wengine ndivyo ambavyo hufanya Meridianbet kampuni ya ubashiri Tanzania, ambapo leo hii walikuwa na zoezi la kugawa aprons wa mama ntilie wa Muhimbili. Aprons hizo zilitolewa na mama ntilie wanaofanya kazi katika maeneo ya karibu na Hospitali ya Muhimbili, Dar es Salaam. Msaada huu unalenga kuboresha usalama na hali ya…