KISA YANGA, MO DEWJI AMTANGAZIA MINOTI MGUNDA
KISA Yanga, Mo Dewji amtangazia minoti Mgunda ndani ya Championi Ijumaa
KISA Yanga, Mo Dewji amtangazia minoti Mgunda ndani ya Championi Ijumaa
UONGOZI wa Azam FC umeweka wazi kuwa umepokea CV za makocha kutoka maeneo mbalimbali kwa makocha wenye uzoefu huku wazawa wakiwa ni wawili. Kwa sasa timu hiyo ipo chini ya Kaimu Kocha, Kali Ongala ambaye ameweka rekodi ya kuiongoza timu hiyo kwenye mechi 8 mfululizo za ligi kwa kushinda zote na kukomba pointi 24. Hasheem…
WANANCHI wanaongoza ndani ya dakika 45 za mwanzo kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Ruvu Shooting. Ruvu Shooting wamejitungua wenyewe dakika ya 34 kupitia kwa nyota wao Mpoki Mwakinyuke. Licha ya Ruvu Shooting kujifunga bado Yanga ndani ya dakika 45 wameonyesha nguvu kubwa kuliandama lango la Ruvu Shooting wakimtumia mshambuliaji wao Fiston Mayele…
BAADA ya kukamilisha dakika 90 za kimataifa ugenini tayari kikosi cha Simba kimerejea Dar. Februari 25,2023 kilishuka Uwanja wa St Mary’s kusaka pointi tatu dhidi ya Vipers ukiwa ni mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya makundi. Baada ya dakika 90 ubao ulisoma Vipers 0-1 Simba huku mtupiaji akiwa ni Henock Inonga aliyepachika bao…