
PACOME AITWA NA MABOSI YANGA SC
NYOTA wa Yanga SC Pacome Zouzoua inaelezwa kuwa ameitwa na mabosi wa timu hiyo ili kujadili kuhusu kuongeza mkataba kuendelea kusalia ndani ya timu hiyo inayonolewa na Kocha Mkuu, Miloud Hamdi. Pacome ni chaguo la kwanza la Hamdi ambapo kwenye msimu wa 2024/25 kacheza jumla ya mechi 23 Pacome kahusika kwenye mabao 18 akiwa kafunga…