
SIMBA NGOMA NZITO KWENYE ULINZI
KATIKA mechi tatu àmbazo ni dakika 270 Simba imeruhusu jumla ya mabao manne ikikwama kuondoka na clean sheet katika mechi hizo. Ngoma ni nzito kwenye upande wa ulinzi huku benchi la ufundi likibainisha kuwa litafanyia kazi hayo yote kwenye uwanja wa mazoezi. Seleman Matola, kocha msaidizi wa Simba amesema wanatambua kuwa kuna makosa yanatokea jambo…