
AZAM FC NA SAINI YA FEI TOTO WAZUA JAMBO
WAKATI kiungo Feisal Salum maarufu kama Fei Toto akiwa anatajwa kuwa kwenye rada za mabosi wa Simba na Yanga, uongozi wa Azam FC umezua jambo kimtindo kuhusu usajili wa nyota huyo. Ipo wazi kwamba Feisal ni namba moja kwa watengeneza pasi za mwisho ndani ya Ligi Kuu Tanzania Bara ambayo inadhaminiwa na NBC ikiwa ni…