
HERSI AMESHINDA TUZO YA MWANAMICHEZO MWENYE MCHANGO BARANI AFRIKA
RAIS wa Yanga na Mwenyekiti wa Shirikisho la Vilabu Afrika, Eng. Hersi Ally Said ameshinda Tuzo ya mwanamichezo mwenye mchango katika maendeleo ya mpira wa miguu Barani Afrika katika tuzo za Nigeria-France Sports Awards, zilizofanyika Jijini Paris, Ufaransa. Balozi wa Tanzania Nchini Ufaransa, Ali Jabir Mwadini, alikabidhiwa tuzo hiyo kwa niaba ya Eng. Hersi na…