
VIDEO:KABANGU:NILIPAMBANA MBELE YA KIDUKU
ALEX Kabangu, bondi kutoka DRC Congo amesema kuwa aliweza kupambana kwenye pambano lake mbele ya Twaha Kiduku lakini anaona kwamba mshindi amepewa na waamuzi.
ALEX Kabangu, bondi kutoka DRC Congo amesema kuwa aliweza kupambana kwenye pambano lake mbele ya Twaha Kiduku lakini anaona kwamba mshindi amepewa na waamuzi.
KIKOSI cha Yanga kinachonolewa na Kocha Mkuu, Sead Ramovic kwenye gusa achia twende kwao balaa zito wakiituliza Simba mazima kwenye kasi ya utupiaji wa mabao ndani ya ligi namba nne kwa ubora. Ikumbukwe kwamba Desemba 2024 ni Clement Mzize ambaye ni mshambuliaji alichaguliwa kuwa mchezaji bora na Sead alitangazwa kuwa kocha bora kutokana na ushindi…
KATIKA kuelekea usajili wa dirisha la Januari, mwaka huu wadhamini wa Yanga, Kampuni ya GSM, wamewahakikishia mashabiki wa timu hiyo kufanya usajili mkubwa na wa kishindo. Yanga imeonekana kudhamiria msimu huu kutwaa mataji yote wanayoshindania ikiwemo Ligi Kuu Bara na Kombe la Shirikisho la Azam Sports (ASFC), ambayo yote yanatetewa na Simba. Timu…
PATRICK Aussems maarufu kama Uchebe hatakuwa ndani ya kikosi cha Singida Black Stars pamoja na Dennis Kitambi aliyekuwa msaidizi wake baada ya kukutana na Thank You Novemba 25 2024. Kwa sasa timu hiyo itakuwa chini ya Mkurugenzi wa Ufundi, Ramadhani Nswanzurwimo lama kocha mkiu wakati akitafutwa kocha mwingine. Mechi 11 nafasi ya nne, pointi 24…