
LEWANDOWSKI,RONALDO WASEPA NA TUZO
MSHAMBULIAJI wa kimataifa kutoka Poland ambaye anakipiga Bayern Munich, Robert Lewandowski ameshinda tuzo ya FIFA ya Mchezaji Bora wa mwaka 2021. Lewandowski, 33, ametwaa tuzo hiyo ikiwa ni mara ya pili mfululizo ambapo katika kipindi hicho ametupia bao 69 akimshinda Lionel Messi na Mohamed Salah wa Liverpool. Pia mshambuliaji wa Manchester United Cristiano Ronaldo yeye…