NABI AWAPA MAAGIZO WACHEZAJI WAKE
KOCHA Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi ni kama amewajaza upepo washambuliaji wa timu hiyo akiwemo Fiston Mayele kwa kuwa waambia kuwa wanauwezo mkubwa wa kufunga mabao mengi katika kila mchezo ikiwa tu wataamua kuzitumia vizuri nafasi wanazopata. Nabi ametoa kauli hiyo baada ya mazoezi ya juzi ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Azam unaotarajia kupigwa Jumamosi ya wiki hii kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar….