
MSAKO WA POINTI TATU KWA MKAPA ULIKUWA HIVI
KAMA utakuwa unaitafuta Yanga ilipo kwa sasa kwenye msimamo ni namba moja na pointi zake kibindoni ni 42 baada ya juzi kushinda kwa mabao 3-0 dhidi ya Kagera Sugar, Uwanja wa Mkapa. Ilikuwa ni msako wa pointi tatu kwa timu zote mwisho Yanga wakasepa na pointi tatu mazima na ilikuwa namna hii :- Makipa kazini…