CAF YAIFUNGIA SIMBA KUINGIZA MASHABIKI JUMAPILI

SHIRIKISHO la Soka Afrika (CAF) limeifungia klabu ya Simba Sc kuingiza mashabiki kwenye mechi yao ya mwisho ya hatua ya Makundi ya kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Constantine Jumapili hii Januari 19, 2025. Hii ni kutokana na vurugu zilizotokea kwenye mchezo dhid ya SC Sfaxien ya Tunisia uliopigwa Desemba 2024 hvyo mechi dhid ya…

Read More

WIKIENDI YENYE MECHI KUBWA NA KALI LIVERPOOL VS CHELSEA, ARSENAL VS MAN UTD, MAN CTY VS WOLVES, SERIE A KUTAWAKA MOTO NA LA LIGA NI BARCA NA REAL MADRID

Kila mtu huwa na sehemu anayoipenda Zaidi ambayo inampatia furaha kila siku, Chimbo lako ni moja tu kama ukitaka kubeti wikiendi hii jiunge na familia ya Meridianbet ushindi ni uhakika, kila mechi wanatoa Odds Bomba za Ushindi. Wikiendi hii ni ya moto mno usipime mtu wangu, utaelewa ni kwanini nakwambai ya moto ebu fikiria moto…

Read More

Bilioni 6 Kiganjani Mwako! Meridianbet Yaja na Promosheni ya Nguvu

Meridianbet, jina kubwa katika ulimwengu wa kubashiri Tanzania, limezindua promosheni kabambe ya Playson Short Races, mashindano ya kila usiku yanayowapa wachezaji nafasi ya kujinyakulia mamilioni kwa kasi ya ajabu. Kuanzia Septemba 9 hadi mwisho wa mwezi huu, mashindano haya yatafanyika kila siku kuanzia saa 4:00 usiku hadi saa 8:50 usiku kwa saa za Afrika Mashariki,…

Read More

ISHU YA KISINDA TUISILA KURUDI YANGA IPO HIVI

WINGA machachari wa RS Berkane ya nchini Morocco, Tuisila Kisinda ameonekana kuwagawa mabosi wa timu hiyo, katika mipango ya kutaka kumrejesha kikosini hapo msimu ujao. Hivi karibuni tetesi zilienea za winga huyo kurejeshwa Yanga katika msimu ujao kwa kile kilichoelezwa kuachana na klabu yake ya Berkane. Yanga ilimuuza Kisinda msimu uliopita kwenda Berkane kwa dau…

Read More

Win&Go Yaongeza Msisimko: Meridianbet Watoa Nafasi ya Pili ya Ushindi

Katika michezo ya kubahatisha, wengi huamini kwamba ukikosa mara moja basi ndio mwisho. Lakini Meridianbet wameleta mtazamo mpya unaobadilisha kabisa mchezo, kwamba hata kushindwa kunaweza kuwa mwanzo wa ushindi. Kupitia kipengele cha Lucky Loser kwenye Win&Go, tiketi yako haimaliziki kuwa ya hasara hata kama namba zote 6 hazijatoka. Badala yake, inapata maisha mapya na kugeuzwa…

Read More

MANCHESTER UNITED KOCHA HUYU ATAJWA

Habari za chini ya kapeti zinamtaja Brendan Rodgers kama kocha atakayepewa kibarua pale Old Trafford, pindi atakapoondoshwa mtoto wa nyumbani Ole Gunner Solskjaer.   Rodgers aliwahi kufundisha Liverpool ambayo aliifikisha nafasi ya 2 kwenye msimu wa 2013/14. Muda mfupi baada alijiunga na Celtic kabla ya 2019 kurejea kwenye EPL na kuichukua Leicester City ambayo bado yupo nayo, mpaka sasa…

Read More

MGUNDA KUIFANYIA KAZI SAFU YA USHAMBULIAJI

JUMA Mgunda, Kocha Mkuu wa Simba amekiri kuwa wanatengeneza nafasi nyingi kwenye mechi ambazo wanacheza lakini tatizo lipo kwenye kuzitumia nafasi jambo ambalo linafanyiwa kazi.  Safu ya ushambuliaji imetupia mabao 19 na kinara ni Moses Phiri mwenye mabao matano na pasi mbili za mabao. Kwenye mchezo wa ligi dhidi ya Singida Big Stars,Phiri alikosa nafasi…

Read More