
REAL MADRID, ARSENAL NA PSG ZIMESHUSHA VIPIGO VIZITO UEFA
Real Madrid, Arsenal na PSG zimeshusha vipigo vizito huku Bayern Munich na Manchester City zikipigika kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya. FT: Arsenal 🏴 3-0 🇭🇷 D. Zagreb ⚽ 2’ Rice ⚽ 66’ Havertz ⚽ Odegaard 90+2’ FT: PSG 🇫🇷 4-2 🏴 Man City ⚽ 56’ Dembele ⚽ 61’ Barcola ⚽ 78’ Neves ⚽ 90+4’ Ramos…