
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA SPOTI XTRA ALHAMIS
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Spoti Xtra Alhamisi
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Spoti Xtra Alhamisi
Wikiendi yako inaenda kuwa namna gani? Naamini umeshandaa majamvi yako ya faida, na ninakukumbusha mitanange muhimu inayoweza kukupa pesa wiki hii pamoja na machaguo mapya ya Meridianbet kwenye Ligi Ndogo. Wikiendi hii Eintracht Frankfurt anavaana na Rangers kwenye Fainali ya EUROPA, wakati Chelsea pia akijiandaa kukutana na Liverpool kwenye Fainali Kombe la FA. Unaweza kuamua…
LEO Mei 11,2022 mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara, Simba wamelipa kisasi cha kutunguliwa mbele ya Kagera Sugar kwenye mchezo wa kwanza uliochezwa Uwanja wa Kaitaba. Ushindi wa mabao 2-0 ambao wameupata leo wamelipa kisasi cha mzunguko wa kwanza baada ya Hamiss Kiza kuweza kumtungua bao 1-0 Aishi Manula walipokutana. Leo wamekutana kwenye mzunguko wa…
STAA wa Klabu ya Geita Gold FC, George Mpole amesema kuwa siri iliyopo nyuma ya uwezo wake mkubwa wa kufunga kwenye ligi msimu huu ni ubora wa washambuliaji na wachezaji wakigeni ambao wamekuwa wakitesa kwenye ligi ya Tanzania. Mpole alisema, wachezaji hao wamekuwa wakimpa chachu ya kuendelea kupambana zaidi akiwa uwanjani ili kuweza kupambania nao…
BAADA ya mashabiki wa Yanga kuja juu kupinga mabadiliko ya kumtoa Salum Aboubakari ‘Sure Boy’ na kuingia Heritier Makambo, Kocha Mkuu wa timu hiyo, Mtunisia Nasreddine Nabi ameibuka na kutaja sababu ya kumtoa nyota huyo. Tukio hilo la aina yake lilitokea mara baada ya Nabi kufanya mabadiliko hayo akitafuta ushindi wakati timu yake ilipovaana dhidi…
MARA baada ya kupata suluhu katika michezo mitatu mfululizo kwenye ligi kuu, benchi la ufundi la timu hiyo, limesema kuwa kwa sasa inatosha na litapambana kuhakikisha kuwa timu hiyo inapata ushindi katika michezo inayofuata na kuendeleza matumaini ya ubingwa msimu huu. Yanga imeshindwa kupata ushindi wala kufunga bao katika michezo mitatu iliyopita mfululizo dhidi ya…
BEKI wa kati wa Simba raia wa Kenya, Joash Achieng Onyango, amekubali kuongeza mkataba wa kuendelea kukipiga ndani ya timu hiyo. Hiyo ikiwa ni siku chache tangu tetesi zizagae za beki huyo tegemeo kunako Simba kugomea mazungumzo ya awali kati yake na uongozi wa timu hiyo. Onyango ni kati ya wachezaji wanaomaliza mikataba katika kikosi…
MEI 11,2022 Ligi Kuu Tanzania Bara inaendelea ikiwa ni mzunguko wa pili. Polisi Tanzania itakuwa na kibarua cha kusaka pointi tatu mbele ya Dodoma Jiji, mchezo huu unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Ushirika. Coastal Union itakuwa na kazi ya kumenyana na Biashara United mchezo unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkwakwani. Simba itakuwa na kibarua cha kusaka ushindi…
VIUNGO wa Simba wanne leo wanatarajiwa kuukosa mchezo wa Ligi Kuu Bara Uwanja wa Mkapa mbele ya Kagera Sugar. Mchezo wa leo ni wa mzunguko wa pili baada ya ule wa mzunguko wa kwanza Kagera Sugar kuwatungua bao 1-0 Simba, Uwanja wa Kaitaba. Pablo Franco, Kocha Mkuu wa Simba amesema kuwa kuna wachezaji ambao wakosekana…
KIBWANA Shomari, beki wa Yanga amesema kuwa anafurahia kuwa ndani ya kikosi cha Yanga na ana imani ya kuendelea kufanya vizuri baada ya kuongeza mkataba wa miaka miwili. Mkataba wa beki huyo chaguo la kwanza la Kocha Nasreddine Nabi ulikuwa unakaribia kufika ukingoni mwa msimu huu hivyo bado yupo sana ndani ya kikosi cha Yanga….
AZAM FC imepoteza kwa kufungwa mabao 2-1 mbele ya Mbeya City kwenye mchezo wa ligi uliochezwa Uwanja wa Sokoine. Nyota wa Mbeya City Juma Shemvuni dakika ya 51 kwenye mchezo huo alipachika bao la kuongoza. Kwa Azam FC bao pekee la kufutia machozi lilifungwa na Ayoub Lyanga dakika ya 88 kwenye mchezo huo ikiwa ni…
HAJI Manara,Ofisa Habari wa Yanga amesema kuwa mshambulaji wa kikosi hicho Fiston Mayele ni fundi wa kupiga penalti kuliko watu wanavyofikiria. Kwenye mchezo dhidi ya Prisons Mayele alikosa penalti ya kwanza ndani ya ligi na kuwafanya wakose mazima pointi tatu na kugawana mojamoja Uwanja wa Mkapa. Manara amesema kuwa kilichotokea kwa Mayele ni jambo ambalo…
MUONEKANO wa ukurasa wa mbele gazeti la Championi Jumatano
KIBWANA Shomari, beki wa kikosi cha Yanga ambaye aliwapa tabu watani zao wa jadi Simba mechi zote mbili msimu huu kwenye ligi ameongeza mkataba wa miaka miwili kuendelea kuitumikia timu hiyo. Kwenye mchezo wa mzunguko wa kwanza, Kibwana alikula sahani moja na Bernard Morrison ambaye alikwama kuifunga Yanga na mchezo wa pili alipopewa Pape Sakho…
MTENDAJI Mkuu wa Borussia Dortmund, Sebastian Kehl, amefunguka kuwa dili na hatma ya Erling Haaland itajulikana wiki ijayo. Haaland amekuwa akihusishwa kujiunga na timu tofauti za Ulaya, ingawa Manchester City ikionekana kuwa katika nafasi nzuri ya kumsajili. Staa huyo amekuwa kwenye kiwango bora tangu atue Dortmund, Januari 2020 akitokea RB Salzburg ya Austria. Mwezi uliopita…
STAA mkongwe wa soka, David Beckham amesema anatamani kuona staa wa Manchester United, Cristiano Ronaldo anasalia kikosini hapo kwani ni mchezaji muhimu. Hii ni baada ya kuwepo tetesi kuwa huenda Ronaldo akatimka kikosini hapo, baada ya Man United kushindwa kufuzu kucheza Ligi ya Mabingwa Ulaya msimu ujao, licha ya kuwa na mkataba wa mwaka mmoja…
BAADA ya tetesi nyingi kuzagaa kuhusishwa kusaini mkataba Yanga, mshambuliaji wa Geita Gold, George Mpole ametoa sharti moja kubwa kwa timu hiyo. Mpole ni kati ya wachezaji wanaohusishwa kutua Yanga kuelekea msimu ujao ambapo timu hiyo ina uhakika wa kushiriki michuano ya kimataifa inayosimamiwa na Shirikisho la Soka Afrika (CAF). Mshambuliaji huyo hivi sasa yupo…