
SIMBA YAGAWANA POINTI MOJA UGENINI, HAO ROBO FAINALI
SIMBA kwenye mechi tano za kimataifa safu yake ya ushambuliaji imefunga katika mechi hizo katika hatua ya makundi Kombe la Shirikisho Afrika. Mbele ya Bravos Leonel Ateba amefunga bao dakika ya 69 akisawazisha bao walilofungwa na Abdenego dakika ya 13 wakifungua ukurasa wa kutinga hatua ya robo fainali. Simba inafikisha pointi 10 kwenye hatua ya…