
MEYA KUMBILAMOTO AUNGANA NA RAIS SAMIA KUWAPA POLE KARIAKOO
MEYA wa Jiji la Dar, Omary Kumbilamoto kwa niaba ya Baraza la Madiwani wa Jiji la Dar ametoa pole kwa Watanzania wote kutokana na tukio la kuporomoka kwa ghorofa Kariakoo. Ikumbukwe kwamba kwa sasa Serikali ya Tanzania inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan kupitia vyombo vya usalama, Wananchi, Wafanyabiashara, Wanamichezo, mabondia wameungana kutokana na janga…