KIUNGO YANGA KUIBUKIA GEITA GOLD
NYOTA wa zamani wa Yanga, Said Ntibanzokiza anatajwa kumalizana na Klabu ya Geita Gold inayoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara. Nyota huyo ambaye alijenga pacha matata na Fiston Mayele alisepa ndani ya kikosi hicho mwishoni mwa msimu wa 2021/22 baada ya kandarasi yake kugota ukingoni. Ni dili la miaka miwili anatajwa kupewa nyota huyo ambaye ni…