DR LIONESS, FOX DIVAZ KUWANIA UBINGWA WA betPawa NBL

 FAINALI ya Wanawake mashindano ya Klabu bingwa ya mpira wa kikapu nchini “betPawa NBL” itafanyika Jumatano Novemba 20, 2024 kwa mechi ya DB Lioness na Fox Divers Uwanja wa Chinangali, mkoani Dodoma. Fainali hiyo imepangwa kuanza saa 12.00 jioni inatarajiwa kuwa na upinzani mkali kutoka kwa wachezaji wa timu zote mbili. Fox Divaz wamefuzu hatua…

Read More

CHELSEA, CITY, BARCELONA, LEIPZIG KUKUTAIRISHA

Leo ni wewe tuu ushindwe kuondoka na mapene ya maana ukitulia na kusuka jamvi lako la uhakika. Odds kubwa na machaguo zaidi ya 1000 yapo hapa. Ligi kuu ya Italia SERIE kuendelea leo ambapo mechi ya mapema kabisa ni hii ya Hellas Verona dhidi ya Inter Milan ambao wanahitaki ushindi ili wake kileleni. Mara ya…

Read More

LIGI KUU YA TANZANIA BARA INAENDELEA TENA LEO JUMAMOSI

Ligi Kuu ya Tanzania Bara inaendelea tena leo Jumamosi, Novemba 23, 2024, ambapo Matajiri wa Chamazi, Azam FC, watakuwa nyumbani kuwakaribisha Wanankurukumbi, Kagera Sugar, katika Uwanja wao wa Chamazi Complex. Mchezo wa Azam FC dhidi ya Kagera Sugar utapigwa saa 1:00 usiku. Michezo mingine ya Ligi Kuu Tanzania Bara itakayopigwa leo: • Saa 8:00 mchana,…

Read More

WIKENDI IMERUDI, PESA NJE NJE KWA MECHI KIBAO

Wakali wa ubashiri Tanzania Meridianbet wanakwambia hivi siku ya leo unaweza kuondoka ukifurahia maokoto ya maana kwani ligi mbalimbali zimerejea. Tandika jamvi lako sasa. Tengeneza jamvi lako na mechi za LIGUE 1 ambapo PSG atamkaribisha kwake Toulouse ambao wapo nafasi ya 10 wakiwa na pointi zao 15, huku mara ya mwisho kukutana Paris alipoteza. Ikumbukwe…

Read More

HONGERA TAIFA STARS, YAFUZU AFCON 2025

KUTOKA kundi H, timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars inayonolewa na Kocha Mkuu, Hemed Morocco imekata tiketi kufuzu AFCON 2025 kwa ushindi dhidi ya Guinea. Baada ya dakika 90 ubao wa Uwanja wa Mkapa umesoma Tanzania 1-0 Guinea ambapo katika dakika za lala salama Guinea walikuwa wanatafuta pointi moja kwa kutaka kumtungua Air Manula…

Read More

KIKOSI CHA ‘STARS’ KINACHOANZA DHIDI YA GUINEA

Kikosi cha ‘Stars’ kinachoanza dhidi ya Guinea kwenye mchezo wa mwisho wa Kundi H wa kuwania kufuzu kombe la Mataifa Afrika AFCON 2025 katika dimba la Benjamin Mkapa. Kocha Hemed Suleiman ‘Morocco’ amefanya badiliko moja kutoka kikosi kilichowanyoa Ethiopia huku kiungo Adolf Mtasingwa Bitegeko akichukua nafasi ya Novatus Dismans Miroshi ambaye anakosekana kwenye mchezo huo…

Read More

LEO MECHI ZA MATAIFA MBALIMBALI ZINAZOENDELEA, PIGA PESA

Endelea kubashiri leo hii mechi za mataifa mbalimbali zinazoendelea hapa ndani ya Meridianbet huku ukiwa tayari umewekewa machaguo kibao uyapendayo. Mechi za UEFA NATIONS LEAGUE kule Ulaya kuendelea leo ambapo Hungary baada ya kupigika mechi yake iliyopita, leo hii atakiwasha dhidi ya Germany ambao ndi vinara wa kundi hilo. Mwenyeji anaingia kwenye mchezo huu akikumbuka…

Read More

FOUNTAIN GATE INAVUTIA NA KUSHANGAZA

NDANI ya Ligi Kuu Tanzania Bara msimu wa 2024/25 ushindani ni mkubwa ambapo kila timu inapambana kufanya kweli ndani ya uwanja kwenye mechi za ushindani. Vinara wa ligi ni Simba chini ya Kocha Mkuu, Fadlu Davids imekuwa na mwendo wake ambapo kwenye mechi 10 imepoteza mchezo mmoja dhidi ya Yanga. Kuna Fountain Gate hii imekuwa…

Read More

MEYA KUMBILAMOTO AUNGANA NA RAIS SAMIA KUWAPA POLE KARIAKOO

MEYA wa Jiji la Dar, Omary Kumbilamoto kwa  niaba ya Baraza la Madiwani wa Jiji la Dar ametoa pole kwa Watanzania wote kutokana na tukio la kuporomoka kwa ghorofa Kariakoo. Ikumbukwe kwamba kwa sasa Serikali ya Tanzania inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan kupitia vyombo vya usalama, Wananchi, Wafanyabiashara, Wanamichezo, mabondia wameungana kutokana na janga…

Read More