
HIKI HAPA KIKOSI CHA SIMBA DHIDI YA SINGIDA BLACK STARS
KIKOSI cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu, Fadlu Davids kitakuwa na kazi ya kusaka pointi tatu dhidi ya Singida Black Stars mchezo unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Liti. Timu zote mbili ambazo zimekuwa kwenye mwendo mzuri zipo tayari kwa mchezo huo unaotarajiwa kuwa na ushindani mkubwa Kwa upande wa kipa ni Mousa Camara, mabeki ni Shomari…