
NYOTA WAWILI WA KAZI YANGA FITI KUWAKABILI AZAM FC
KUELEKEA kwenye mchezo wa Mzizima Dabi unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Azam Complex kuna mastaa wawili wa kikosi cha Yanga wapo fiti kwa ajili ya mchezo huo unaotarajiwa kuwa na ushindani mkubwa. Yanga ambao ni vinara wa Ligi Kuu Tanzania Bara ambayo ni namba nne kwa ubora Afrika wanakibarua cha kusaka ushindi dhidi ya Azam FC…