
BEKI WA KAZI YANGA MAPAMBANO YANAENDELEA
CHADRACK Boka beki wa kikosi cha Yanga ambao ni vinara wa ligi amebainisha kuwa ligi ya Tanzania ni ngumu jambo ambalo linawafanya wazidi kupambana kupata matokeo kwenye mechi ambazo wanacheza. Boka ndani ya ligi kafunga bao moja ilikuwa kwenye mchezo dhidi ya Pamba Jiji uliochezwa Uwanja wa CCM Kirumba katika mchezo huo alipachika bao hilo…