
SIMBA YAVUTA KASI KITAIFA NA KIMATAIFA, MANDALIZI KUANZA
UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa wiki ijayo wanatarajia kuingia kambini kwa ajili ya maandalizi ya mechi za ushindani kitaifa na kimataifa kwa msimu wa 2024/25. Mchezo uliopita Simba ilivuna pointi tatu dhidi ya Dodoma Jiji ulichezwa Uwanja wa KMC, Complex ilikuwa Machi 14 2025 baada ya dakika 90 ubao ulisoma Simba 6-0 Dodoma Jiji….