
SIMBA KAZINI KIMATAIFA LEO
WAWAKILISHI wa Tanzania kwenye anga la kimataifa katika Kombe la Shirikisho Afrika wakiwa hatua ya makundi wanatarajiwa kuwa kazini leo saa 1:00 usiku (kwa saa za Afrika Mashariki) katika mchezo wa mzunguko wa pili Kundi A Kombe la Shirikisho dhidi ya CS Constantine mchezo unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Chahid Hamlaoui nchini Algeria. Timu zote mbili…