
MBEYA KWANZA HAWAPOI HUKO, KAZI INAENDELEA
KAZI inaendelea kwa Mbeya Kwanza ambao hawapoi kabisa kwani baada ya ushindi kwenye mchezo wao uliopita wa NBC Championship dhidi ya Polisi Tanzania sasa hesabu kubwa ni kwenye mchezo ujao dhidi ya Transit Camp. Katika mchezo huo Mbeya Kwanza iliyo nafasi ya 6 kwenye msimamo wa ligi ikiwa na pointi 42 baada ya mechi 24…