
NYOTA MPYA YANGA BALAA LAKE SIO LA KITOTO
MILOUD Hamdi, Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa ingizo jipya ndani ya Yanga ambaye ni mshambuliaji Jonathan Ikangalombo ana spidi kubwa akiwa uwanjani jambo ambalo ni faida kwa timu kwenye mechi za ushindani. Kocha huyo ameweka wazi kuwa mshambuliaji huyo alikuwa hachezi kwenye mechi zilizopita kwa kuwa hakuwa fiti kwa asilimia kubwa jambo ambalo lilifanya…