
VIDEO: JEMBE AWAZUNGUMZIA WAPINZANI WA SIMBA KIMATAIFA
LEGEND kwenye masuala ya michezo Bongo, Saleh Jembe amewafungukia wapinzani wa Simba kwenye anga la kimataifa.
LEGEND kwenye masuala ya michezo Bongo, Saleh Jembe amewafungukia wapinzani wa Simba kwenye anga la kimataifa.
WALTER Harson, Meneja wa Yanga amesema kuwa mchezo wao dhidi ya Singida Black Stars ulikuwa wenye ushindani mkubwa kutokana na mvua kubwa mchezo huo ulishindwa kumalizika huku wakiwashukuru mashabiki kwa kujitokeza kwa wingi kuwashangilia. Ni Machi 24 Singida Black Stars waliwakaribisha Yanga katika mchezo wa kirafiki ambapo ulikuwa maalumu kwa ajili ya uzinduzi wa Uwanja…
NDANI ya Ligi namba nne kwa ubora Afrika kuna mashine za kazi eneo la ushambuliaji ambazo zimekuwa kwenye mwendo mzuri kutoka kikosi cha Simba ambacho kinanolewa na Kocha Mkuu, Fadlu Davids. Vita sio nyepesi kwenye eneo la ushambuliaji ambapo mabingwa watetezi Yanga wao pointi zao kibindoni ambazo ni 58 ni saw ana idadi ya mabao…
NAIBU Waziri Utamaduni Sanaa na Michezo Hamis Mwinjuma, maarufu kwa jina la FA rasmi amezindua Uwanja wa Airtel, Singida ambao utatumiwa na timu hiyo kwa mechi za ushindani. FA kwenye uzinduzi huo amepiga bonge moja ya penati ambayo ilimshinda mlinda mlango namba moja wa Singida Black Stars, Metacha Mnata. Ilikuwa ni kwa mguu wake wa…
KAZI inaendelea kwa Mbeya Kwanza ambao hawapoi kabisa kwani baada ya ushindi kwenye mchezo wao uliopita wa NBC Championship dhidi ya Polisi Tanzania sasa hesabu kubwa ni kwenye mchezo ujao dhidi ya Transit Camp. Katika mchezo huo Mbeya Kwanza iliyo nafasi ya 6 kwenye msimamo wa ligi ikiwa na pointi 42 baada ya mechi 24…
UONGOZI wa Simba umetambia uwepo wa kinara wa kucheka na nyavu ndani ya Ligi Kuu Tanzania Bara ambayo ni namba nne kwa ubora, Jean Ahoua kwa msimu wa 2024/25 akiwa ni chaguo la kwanza la kocha. Ndani ya kikosi cha Simba kiungo huyo rekodi zinaonyesha kuwa amecheza jumla ya mechi 21 akikomba dakika 1,550 na…
WALTER Harison, Meneja wa Yanga amesema kuwa Wananchi watapata burudani ambayo waliikosa kwa muda kutokana na mchezo wa kirafiki dhidi ya Singida Black Stars unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Airtel. Yanga inatarajiwa kushuka uwanjani Machi 24 2025 kwa ajili ya mchezo wa kirafiki amba oni maalumu kwa ajili ya uzinduzi wa uwanja mpya wa Singida Black…
Siku ya kuwa tajiri imefika chukua maokoto yako ya maana na mabingwa wa odds kubwa Meridianbet leo kwani mechi kibao za pesa zitakuwa uwanjani hapo baadae kusaka pointi 3. England baada ya kushinda mechi yao iliyopita, leo hii watakuwa nyumbani kukiwasha dhidi ya Latvia. Vijana wa Thomas Tuchel wanahitaji kuendeleza ushindi katika dimba la Wembley…
Jumapili ya kumaliza wikendi imekuja na mechi kali kabisa za kukuwezesha wewe kuondoka na mkwanja wa maana ndani ya Meridianbet. France, Portugal, Italy na wengine wengi wapo dimbani kukupatia ushindi. Serbia atamualika kwake Austria ambao kwenye mechi ya kwanza walitoka sare ya kufungana. Kila timu inahitaji ushindi leo hii iweze kusonga mbele kwenye hatua inayofuata….
RAIS wa Yanga Eng. Hersi Said alfajiri ya Machi 22, 2025 amekamilish Ibada ya Umrah Mjini Makka, Saudi Arabia.
Ijumaa ndio hiyo imefika ya kuchukua maokoto yako ya maana na mabingwa wa odds kubwa Meridianbet leo kwani mechi kibao za pesa zitakuwa uwanjani hapo baadae kusaka pointi 3. Tukianza na Equatorial Guinea yeye atamenyana dhidi ya Sao Tome and Principle katika kundi H ambapo mgeni kwenye mechi 4 alizocheza amepiga zote huku mwenyeji wake…
Jumamosi tamu kabisa ya wewe kuondoka na pesa pale Meridianbet imefika, huku wakali hao wa ubashiri leo hii wao wakiamua kurejesha kidogo wanachokipata na safafri hii ilikuwa ni pale Kariakoo ambapo wametoa reflectors na helmet. Katika jitihada za kuimarisha usalama barabarani, Meridianbet imefanya tukio la kugawa helmet na reflectors kwa madereva wa boda boda katika…
Mchambuzi wa soka nchini, Saleh Jembe ameeleza kuwa klabu ya Yanga SC wanapaswa kufuata utaratibu maalum katika uwasilishwaji wa malalamiko kuhusu Derby.
Leo hii France, Portugal, Italy, Serbia wote wapo dimbani kuhakikisha huondoki patupu. Suka jamvi lako la ushindi na uibuke bingwa siku ya leo. Pesa ipo hapa kwa Ukraine dhidi ya Belgium ambao wapo chini ya Rudi Garcia na wenyeji wao wananolewa na Serhiy Rebrov. Timu hizi zilikutana kwenye EURO 2024 ambapo walitoshana nguvu. ODDS za…
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limeufungulia uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza kutumika kwa michezo ya Ligi baada ya kufanya marekebisho yaliyokidhi vigezo vya kikanuni na sheria za mpira wa miguu. Taarifa ya TFF ya leo Machi 20, 2025 imeeleza kuwa Uwanja huo uliofungiwa kutokana na miundombinu yake kutofaa kutumika kama ilivyoainishwa kwenye masharti…
FEISAL Salum, Fei Toto kiungo wa Azam FC ambaye ni namba moja kwenye pasi za mwisho za mabao ndani ya Ligi Kuu Bara ambayo ni namba nne kwa ubora jina lake limekuwa likitajwa kuwa katika rada za Simba. Kiungo huyo aliibuka ndani ya Azam FC akitokea Yanga ambapo kwa sasa amekuwa ni chaguo la kwanza…
BAADA ya dakika 90 Kwenye Kariakoo Dabi ya Wanawake kukamilika na ubao kusoma Simba Queens 0-1 Yanga Princess rekodi ya timu hiyo kutopoteza pointi tatu ndani ya msimu wa 2024/25 imeyusha mazima na watani zao wa jadi. Ikumbukwe kwamba baada ya Simba Queens kucheza mechi 12 ilikuwa haijapoteza mchezo ndani ya ligi kwenye dakika 1,080…